Skip to navigation – Site map

HomeIssues7Document 4. Consent Form

Document 4. Consent Form

Document attached to the article: Florence Wenzek, ‘The Interview as Trial and Error and as Encounter: Inside the Black Box of a Historian in Tanzania’
Document 4. Formulaire de consentement. Document joint à l’article : Florence Wenzek, ‘L’entretien comme tâtonnement et comme rencontre : la chambre noire d’une historienne en Tanzanie’

Index terms

Geographical index:

Tanzania
Top of page

Editor’s notes

Publication related to the document: Wenzek, Florence. 2024. “The Interview as Trial and Error and as Encounter: Inside the Black Box of a Historian in Tanzania.” Sources: Materials & Fieldwork in African Studies, no. 7. https://doi.org/10.4000/11tga.
French version: Wenzek, Florence. 2024. “L’entretien comme tâtonnement et comme rencontre : la chambre noire d’une historienne en Tanzanie.” Sources: Matériaux & terrains en études africaines, no. 7. https://doi.org/10.4000/11tg0.

Full text

Data related to the document:
“Consent Form.” https://doi.org/​10.34847/​nkl.212673k4.
Part of: “The Gendered Making of the Tanzanian Nation: Educating and Training Girls and Women (1939-1976). Primary Documents and Field Data.” https://nakala.fr/​collection/​10.34847/​nkl.2f7dd02z.

4.1 Fomu ya idhini kwa Kiswahili

Fomu ya makubaliano kuhusu utafiti wa Florence Wenzek juu ya “Elimu ya wanawake na wasichana katika mkoa wa Tanga, toka 1939 mpaka mwisho wa miaka 1970”
Kabla ya kushiriki katika utafiti huu, soma nyaraka hii kwa ajili ya kufahamu vizuri maelezo haya. Nyaraka hii itakueleza lengo la utafiti huu, namna utakavyoendeshwa, na hasara zake. Tafadhali, mlize Florence Wenzek swali yoyote unayo.

Mtafiti
Utafiti huu unaendeshwa na Florence Wenzek, ambaye ni mwanafunzi wa PhD katika chuo kikuu cha Paris-Descartes (Ufaransa), na waalimu Rebecca Rogers na Odile Goerg.

Lengo la utafiti
Utafiti huo ni kuhusu elimu ya wanawake na wasichana nchini Tanzania, mkoa wa Tanga, toka miaka 1940 mpaka mwisho wa miaka 1970. Utafiti huu umejikita katika aina zote za elimu kama vile: elimu ya nyumbani, ya shuleni, ya kidini, ya watu wazima, na elimu katika vikundi mbalimbali: Girl Guides, vikundi vya vijana, vya wanawake, na kadhalika. Lengo la utafiti huu ni kufahamu mchango ya elimu katika mabadilisho ya maisha ya wanawake wa Tanzania kati ya miaka 1940 na miaka 1970.

Ushiriki wako katika utafiti huu
Ushiriki wako ni kuzungumza na Florence Wenzek kwa muda wa saa moja au zaidi. Mazungumzo yao yatajitika sana katika maisha yako kwa jumla na elimu yako. Kama ulikuwa mwalimu au ulifundisha watu wazima pahali popote, mazungumzo yenu yatahusiana na hivyo pia.
Kama utamkubalia, mazungumzo haya atayarekodi.
Unaweza kumwonyesha picha au vitu vyovyote vinavyokumbusha enzi zako. Kama utamkubalia, atapiga picha vitu hivyo.

Faida na hasara za kushiriki katika utafiti huu
Kushiriki katika utafiti huu kutakupa nafasi ya kueleza maisha yako, chaguo zako, bidii zako, vitu umefanikiwa na vitu ambavyo vimekuzuia kufanya ulivyotaka. Utaweza kueleza maoni yako kuhusu mambo yote ya elimu ya akina mama hapa Tanzania. Namna hii, itatusaidia kuwajulisha watu kuhusu maisha ya wanawake wa Tanzania, shaka zao na juhudi zao.

1Labda kutakuwepo na maswali ambayo hutajisikia kuyajibu. Utaweza kusema swali hii mliache bila kueleza kwa nini.

Chaguo ya kushiriki
Una uhuru ya kushiriki au kutoshiriki katika utafiti huu. Kushiriki kwako ni kusaini fomu hii na kutoshiriki ni kutosaini fomu hii.

Usiri na matumizi ya kumbukumbu
Kama unapenda, jina lako Florence Wenzek atalinukuu katika makala atakayoandikia. Lakini kama hupendi, jina lako halitakuwepo katika makala yoyote, atatumia jina lengine kuelezea utakachomwelezea.
Unaweza kuchagua kama ushiriki wako katika utafiti huu utaweza kutumiwa na mtafiti mwengine kwa ajili ya utafiti mwengine kuhusu elimu au historia ya wanawake wa Tanzania.

Sahihi
Mimi, ............................, ninakiri kwamba nimesoma au nimesomewa nyaraka hii na nimeelewa malengo na madhumuni ya utafiti huu kuhusu “Elimu ya wanawake na wasichana katika mkoa wa Tanga, toka 1939 mpaka mwisho wa miaka 1970”. Ninatambua kwamba sikulazimishwa kushiriki. Kwa hivyo (kata isiyo husika),

  • nimekubali kuonesha ushirikiano katika utafiti huu
  • nimekubali/sijakubali kurekodiwa katika mazungumzo yetu
  • nimekubali/sijakubali apige picha ya vitu nilivyomwonyesha
  • nimekubali/sijakubali jina langu litumike
  • nimekubali/sijakubali ushiriki wangu utumike kwa watafiti wengine.

Tarehe                                                       Sahihi ya mshiriki

Mimi, Florence Wenzek, ninakiri kwamba nimemweleza mshiriki utafiti wangu, lengo, faida na hasara zake. Nimejibu maswali yote nilioulizwa na mshiriki na nimehakikisha ameeleweshwa vizuri.

Tarehe                                                       Sahihi ya mtafiti

Shukrani
Ahsante sana kwa kushiriki katika utafiti huu, umenisaidia sana.

Taarifa nyingine
Ukiwa na jibu lolote kuhusu utafiti huu na ushiriki wako, uwasiliana na Florence Wenzek:

2- Whats App : +336 ■■ ■■ ■■ ■■

3- simu: +255 7■■ ■■■ ■■■

4- barua pepe : ■■■■@■■■■■■■.fr

4.2 English version

Consent form for Florence Wenzek’s research on “The education of women and girls in the Tanga region, from 1939 to the end of the 1970s”
Before taking part in this research, please read this document so that you fully understand the explanations. This document explains the purpose of this research, how it will be carried out and any disadvantages it may have for you. Please ask Florence Wenzek any questions you may have.

The researcher
This research is being conducted by Florence Wenzek, a PhD student at the University of Paris-Descartes (France), with Professors Rebecca Rogers and Odile Goerg.

Aim of the research
This research focuses on the education of women and girls in Tanzania, in the Tanga region, from the 1940s to the late 1970s. It covers all types of education: home education, formal schooling, religious education, adult education and non-formal education in various groups - Girl Guides, youth movements, women’s groups, etc. This research aims to understand the contribution of education to changes in the lives of women in Tanzania between the 1940s and 1970s.

Your contribution to this research
Your contribution consists of speaking with Florence Wenzek for an hour or more. These discussions will focus on your life as a whole and your education. If you have been a teacher or have given courses for adults in any capacity, the discussions will also cover this.

If you accept, she will record these exchanges.

You can show her photographs or objects that remind you of your former days. If you agree, she can photograph them.

The advantages and disadvantages of taking part in this research
Taking part in this research will give you the opportunity to talk about your life, your choices, your struggles, what you have achieved and what you have been prevented from achieving. You will be able to explain your views on all aspects of women’s education in Tanzania. In this way, you are helping to raise awareness of the lives of Tanzanian women, their problems and their struggles.
There may be questions you don’t want to answer. You can ask to leave them out without explaining why.

The choice to participate
You are free to decide whether or not to take part in this research. If you wish to take part, please sign this form, otherwise do not sign it.

Confidentiality and use of recordings
If you wish, Florence Wenzek will mention your name in the articles she writes about her research. If you do not wish this, your name will not appear anywhere. She will use another name to explain what you have told her.
You can choose whether or not you wish your contribution to this research to be used by others in research on education or on the history of women in Tanzania.

Signature
I, the undersigned, ..........................., certify that I have read this document or had it read to me and that I understand the purpose of this research project on “The Education of Women and Girls in the Tanga Region from 1939 to the End of the 1970s.” I understand that I am not forced to take part. So (according to your choice),

  • I agree to take part in this research
  • I agree / do not agree to our discussion being recorded
  • I agree / do not agree to photographs being taken of the objects shown
  • I agree / do not agree to my name being used
  • I accept / do not accept that my contribution to this research may be used by other researchers.

Date                                                       Signature

I, Florence Wenzek, certify that I have explained my research to the participant as well as its purpose, advantages and disadvantages. I answered any questions asked by the participant and ensured that she understood.

Date                                                       Signature

Acknowledgements
Thank you very much for your participation in this research. You helped me a lot.

Other information
If you have any questions about this research and your contribution, please contact Florence Wenzek:

5- Whats App: +336 ■■ ■■ ■■ ■■

6- phone: +255 7■■ ■■■ ■■■

7- - e-mail address: ■■■■@■■■■■■■.fr

4.3 Version française

Formulaire de consentement à la recherche de Florence Wenzek sur « L’éducation des femmes et des filles dans la région de Tanga, de 1939 à la fin des années 1970 »
Avant de participer à cette recherche, lisez ce document afin de bien comprendre ces explications. Ce document explique l’objectif de cette recherche, la manière dont elle va être menée, ainsi que les inconvénients qu’elle peut avoir pour vous. S’il vous plaît, posez à Florence Wenzek toutes les questions que vous souhaitez.

La chercheuse
Cette recherche est menée par Florence Wenzek, doctorante à l’université Paris-Descartes (France), avec les professeures Rebecca Rogers et Odile Goerg.

Objectif de la recherche
Cette recherche porte sur l’éducation des femmes et des filles en Tanzanie, dans la région de Tanga, des années 1940 à la fin des années 1970. Elle porte sur tous les types d’éducation : familiale, scolaire, religieuse, pour adultes, et dans différents groupes : girl guides, mouvements de jeunesse, groupes de femmes, etc. Le but de cette recherche est de comprendre la contribution de l’éducation aux changements de la vie des femmes en Tanzanie entre les années 1940 et 1970.

Votre contribution à cette recherche
Votre contribution consiste à parler avec Florence Wenzek pendant une heure ou plus. Ces échanges porteront surtout sur votre vie dans son ensemble, et votre éducation. Si vous avez été enseignante ou que vous avez donné des cours pour adultes, dans quelque cadre que ce soit, les discussions porteront aussi sur cela.

Si vous acceptez, ces échanges seront enregistrés.

Vous pouvez lui montrer des photographies ou des objets qui vous rappellent votre enfance ou votre jeunesse. Si vous acceptez, elle pourra les photographier.

Les avantages et inconvénients de participer à cette recherche
Participer à cette recherche vous donnera l’opportunité de parler de votre vie, vos choix, vos combats, ce que vous avez réussi et ce que vous avez été empêchées d’accomplir. Vous pourrez expliquer vos opinions sur tous les aspects de l’éducation féminine en Tanzanie. De cette manière, vous participez à faire connaître les vies des femmes tanzaniennes, leurs problèmes et leurs combats.
Il y aura peut-être des questions auxquelles vous ne souhaiterez pas répondre. Vous pourrez demander à les laisser de côté, sans expliquer pourquoi.

Le choix de participer
Vous êtes libre de participer ou non à cette recherche. Si vous participez, signez ce formulaire, sinon ne le signez pas.

Confidentialité et usages des enregistrements
Si vous le souhaitez, Florence Wenzek citera votre nom dans les articles qu’elle écrira sur sa recherche. Si vous ne le souhaitez pas, votre nom n’apparaîtra nulle part, elle utilisera un autre nom pour expliquer ce que vous lui aurez dit.
Vous pouvez choisir si vous souhaitez que votre contribution à cette recherche soit utilisée ou non par d’autres dans le cadre de recherches sur l’éducation ou sur l’histoire des femmes en Tanzanie.

Signature
Je soussignée, .........................., certifie avoir lu ou m’être fait lire ce document, avoir compris l’objectif de cette recherche sur « l’éducation des femmes et des filles dans la région de Tanga, de 1939 à la fin des années 1970 ». Je comprends que je ne suis pas forcée à participer. Ainsi (selon vos choix),

  • j’accepte de participer à cette recherche
  • j’accepte / je n’accepte pas que notre discussion soit enregistrée
  • j’accepte / je n’accepte pas que des photographies soient prises des objets montrés
  • j’accepte / je n’accepte pas que mon nom soit utilisé
  • j’accepte / je n’accepte pas que ma contribution à cette recherche soit utilisée par d’autres chercheurs.

Date                                                       Signature

Je soussignée Florence Wenzek, je certifie que j’ai expliqué ma recherche à la participante, ainsi que son but, ses avantages et inconvénients. J’ai répondu à toute question posée par la participante, et me suis assurée de sa bonne compréhension.

Date                                                       Signature

Remerciements
Merci beaucoup pour votre participation à cette recherche, vous m’avez beaucoup aidée.

Autres informations
Si vous avez quelque question que ce soit sur cette recherche et votre contribution, contactez Florence Wenzek :

8- Whats App : +336 ■■ ■■ ■■ ■■

9- téléphone : +255 7■■ ■■■ ■■■

10- adresse mail : ■■■■@■■■■■■■.fr

Top of page

References

Electronic reference

“Document 4. Consent Form”Sources: Materials & Fieldwork in African Studies [Online], 7 | 2024, Online since 13 June 2024, connection on 19 July 2025. URL: http://journals.openedition.org/sources/1318; DOI: https://doi.org/10.4000/11tg8

Top of page

Copyright

CC-BY-SA-4.0

The text only may be used under licence CC BY-SA 4.0. All other elements (illustrations, imported files) are “All rights reserved”, unless otherwise stated.

Top of page
Search OpenEdition Search

You will be redirected to OpenEdition Search